Mwanamziki na muigiza wa marekani Ciara 28,amejitokeza hadharani baada ya kujificha kwa miezi kadhaa na kuthibitisha kuwa anatarajia kupata mtoto na mchumba wake Future hivi karibuni.
Ciara huyu atakuwa ni mtoto wake wa kwanza,amejitokeza leo jumanne ya januari 14.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni