Unapokuwa safari ya masaa kadhaa barabarani kwa basi,angani kwa ndege au bahari kwa meli mtu unakuwa bored sana sababu ya kukosa cha kufanya na mara unapitiwa na usingizi kutokana na hali hiyo.
hivyo basi kwa wale tunaopenda safari tujijengee utamaduni wa kusoma iwe vitabu,magazeti au kutumia vitu mbadala kama ipads katika kusoma ili kuepukana na kale kausingizi kaghafla,maana mtu unaweza kutoka ubungo tu kufika kibamba usingizi huo na wakati huo ndio muda mzuri wa kujisomea.
Na kwa wale wenye uwezo wa kumudu kuwa labda na ipad inanoga zaidi.na kukufanya kuwa bize kujua vitu mbalimbali vinanyoendelea duniani na kuepukana na kausingizi ka safari.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni