Jinsi mastaa walivyotokelezea vizuri ndani ya zuria jekundu mwisho wa week iliyopita
katika” Golden Globes AWARDS 2014”
Zuria jekundu jamani linahitaji
muonekano mzuri ambao utakufanya uwe na mvuto sio sababu tu ni star basi ukajua
zuria jekundu linakuhusu,ebu tuige hao mastaa hapo juu walivyotokelezea vizuri
kwa mavazi ambayo hayakuwa ya kuchanganya hadi tushindwe kuelewa.
Yaan walistahili kuwa the best dressed
at The Golden Globes Awards mwaka huu,they are absolutely gorgeous……
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni