Asha Mandela (50),mwanamke mwenye nywele ndefu duniani katika mtindo wa dread.
Mwanamke huyu anaamini kukata nywele zake ni sawa na kujiua.
Kumbe hata nywele zetu za kiafrika zinawezakuwa ndefu kama wale wenzetu,kweli inawezekana maana Bi.Asha ametudhihirishia hayo!
Mwanamke nywele!!!
source
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni