Bwawa la samaki aina ya perege kama linavyoonekana katika viwanja vya nanenane Dodoma,wajasiriamali wa wilaya ya Kongwa Dodoma Tanzania.
Ufugaji wa samaki kwa kutumia mabwawa ambayo yanajengwa katika mazingira ya nyumbani ni biashara inayokua kwasasa.
Watu wamekuwa wakitengeneza mabwawa ya kufugia katika nyumba zao kwa ajili ya biashara na kitoweo ili kujipatia kipato.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni