Mtoto ambaye hakufahamika jina lake,akiwa anaswaga ng'ombe kuelekea malishoni katika eneo la Mpamaa kata ya miyuji Mkoani DodomaTanzania,mtoto huyu alipaswa kuwa darasani lakini kama anavyooneka yupo katika shughuli za uchungaji mifugo.
Elimu ikiwa ni msingi wa maisha na ni haki ya mtoto kupatiwa elimu lakini familia nyingi za kiafrika zimekuwa hazitilii mkazo kuwapatia watoto haki yao hiyo.
Jamii hasa za vijijini zielimishwe kuhusu kuwapa watoto wao haki ya kupata elimu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni