Dunia inaadhimisha wiki ya umuhimu wa kuwanyonyesha watoto. Mwaka huu mada kuu ni kutoa mazingira mazuri katika kuwasaidia wanawake kufanikisha jukumu hilo muhimu.
Nchini Kenya shirika moja limejitolea kuwasaidia akina mama waathiriwa wa HIV kuwanyonyesha watoto wao kwani wakati serikali inaposema akina mama wanyonyeshe miezi sita mfululilzo na wao wako katika fungu hilo.
Wamama tunahamasishwa kunyonyesha maziwa watoto katika kipindi cha miezi 6 ya mwanzo,washauri wa afya wanasemaga maziwa ya mwanzoni yanavirutubisho kwa mtoto.
SOURCE:BBC SWAHILI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni