Picha za bustani ya mbogamboga zikiwa pembezoni ya sehemu ya mabwawa manne ya maji taka katika eneo la Swaswa kata ya Makole manispaa ya Dodoma Tanzania.
Wakulima wa bustani hizo wamekuwa wakitumia maji taka hayo kumwagilia mboga,kitu ambacho si kizuri kwa usalama wa afya ya mlaji.
Hofu je afya za wakulima ziko salama? na je mboga zinazozalishwa ziko salama na rafiki kwa watumiaji?
Maana Mboga hizo zinaonekana zinanunulika sababu wakulima wanazidi kuongezeka pembezoni mwa hayo mabwawa hayo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni