Rita Dominick,D'Banj,Omawumi,Waje,Genevieve na Jim Lyke.
Hawa ni wasanii nyota nchini Nigeria ambao wapo katika orodha ya sita bora ya utajiri na umaarufu lakini hawajapata baraka ya kusema "I Do"ni matajiri.
Ni shughuli nyingi za kutafuta kimaisha,au bado wapo wapo kidogo,lakini fedha kwao sio tatizo je tatizo ni mtu wa kuona/kuolewa nae kwa warembo?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni