Neclace za vitenge
sandals za vitenge
Kitenge ni vazi linalotumika katika bara la Afrika kama utambulisho wa wetu kimavazi,lakini kitenge sikuhizi kimekuwa kikitumika kutengeneza vitu mbalimbali mfano accessories,mapambo ya nyumbani pazia na mashuka.Hivyobasi mtu unawezakutumia kitenge kubuni kitu kutokana na upendavyo ili uonekane tofauti.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni