fashion and style
Mitindo ya vitenge hiyo,kitenge ni vazi la kiafrika ila unaweza kulibuni utakavyopenda mwenyewe,sikuhizi kitenge kimekuwa kikivaliwa na watu wa rika tofauti,pia hakichagui jinsia na zaidi unaweza kuvaa mahali popote ila ukiwa umeangalia ni aina gani ya mtindo uliobuni.
KITENGE HOYEEEE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni