Jumamosi, 10 Agosti 2013



Fasheni za wamama wajawazito

Hata akina mama wajawazito wanatakiwa kwenda na fashine na mitindo mbalimbali ili wapendeze machoni pa watu.

Ujauzito sio ugonjwa ni baraka ambayo inatoka kwa Mungu wetu tupendeze wamama!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni