Jumapili, 26 Januari 2014

Diamond's new ride

My new ride hata mimi naweza kutumia sio watu wa singida tu,huu ndio usafiri wanfgu mpya nitakaokuwa natumia mjini,na foleni za mjini huyo atanisaidia.
Msanii wa Bongo Flava bongo aliye juu akiwa kapanda punda.

Jumamosi, 25 Januari 2014

Diamond back at home

Diamond apost picha yake istagram akiwa ktk ndege kurejea bongo Dar es salaam baada ya show yake mjini Nairobi.
     Welcome back

Ijumaa, 24 Januari 2014

Meet The Girl With The Longest Tongue In The World(photos)




Chanel Tapper, a student from California, USA, has the world's longest tongue, measuring 9.75 cm (3.8 in), from tip to top lip.
Her lizard-like tongue is twice as long as the average, as long as the world's largest cockroach, as wide as your palm, the same volume as a quarter pounder hamburger and around the same length as an iPhone!!
 
Here what she told Guinness World Records about her record-breaking body part in an interview.
·         When did you first realise that your tongue was longer than average? What happened?
 I was eight and my mom and I were taking pictures for Halloween.
In one of the pictures we stuck our tongues out. I noticed I had a long tongue when the pictures from Halloween were printed and I saw it...but I guess it became apparent in middle school when people started commenting on it.
Why I stuck my tongue out at people, I don't know... I'm goofy! But there are still some people from back then that only remember me because of my tongue!
·         What reaction do you get from people when they see it?
For most people it's a jaw-dropping experience. It's like they don't believe what they see and nie out of ten times, they'll ask me to do it again.
Some girls/women have screamed/jumped back. If there are other people around, the person who saw my tongue will tell the nearest next to them.
I'll often get asked questions like, "can you touch your nose or elbow?" and, "do you choke people when you kiss them?"
But always, everyone in one way or another is entertained by seeing it.
·         Despite the excitement of having achieved a Guinness World Record, if you had the choice would you keep your long tongue or choose to have a 'normal' one?
 This is my normal tongue. I was born like this, so no choice would be necessary.
·         Are there any explanations for your long tongue such as other members of your family having the same trait or was it just by chance?
 My mom has a long tongue, but not like my length. I believe I was born without something underneath that prevents it from extending far.
·         Does it affect your relationships in any way? Do you currently have a boyfriend and if so, what does he think?
 It does. Most guys that know or already see it automatically have their mind in the gutter, and so do some females. I don't have a boyfriend, but the last guy I dated didn't make it that big of a deal, and I really liked him for that.
 

Alhamisi, 23 Januari 2014

Diamond na mamaye

Diamond akiwa na mama yake aliyemsindikiza uwanja wa Ndege wa Kimataifa Mwl Julius Nyerere jana wakati wa safari yake kuelekea Nairobi katika show yake inayofanyika leo.
Upendo wa mama na mtoto huo.

today quote


Jumanne, 21 Januari 2014

Today Quote


Fahamu matumizi ya Kitenge

                                           Handbags za Kitenge
                                  

                                                 Neclace za vitenge

 
sandals za vitenge
Kitenge ni vazi linalotumika katika bara la Afrika kama utambulisho wa wetu kimavazi,lakini kitenge sikuhizi kimekuwa kikitumika kutengeneza vitu mbalimbali mfano accessories,mapambo ya nyumbani pazia na mashuka.

Hivyobasi mtu unawezakutumia kitenge kubuni kitu  kutokana na upendavyo ili uonekane tofauti.

Oprah Winfrey to produce Martin Luther King drama

 

The actress-and-talk show host has confirmed she will help produce the upcoming film which will see David Oyelowo - who played her son in The Butler - play the historical figure.



The film tells the story of a group of black marchers who attempt to walk from Selma, Alabama, to nearby Montgomery in order to gain the right to vote in 1965. However, the protesters find themselves in the crosshairs of the police.

Jumatano, 15 Januari 2014

Red Carpet Golden Globes Awards 2014






 

Jinsi mastaa walivyotokelezea vizuri ndani ya zuria jekundu mwisho wa week iliyopita katikaGolden Globes AWARDS 2014”

Zuria jekundu jamani linahitaji muonekano mzuri ambao utakufanya uwe na mvuto sio sababu tu ni star basi ukajua zuria jekundu linakuhusu,ebu tuige hao mastaa hapo juu walivyotokelezea vizuri kwa mavazi ambayo hayakuwa ya kuchanganya hadi tushindwe kuelewa.

Yaan walistahili kuwa the best dressed at The Golden Globes Awards mwaka huu,they are absolutely gorgeous……
 

Jumanne, 14 Januari 2014

Ciara ajitokeza hadharani na ujauzito

Mwanamziki na muigiza wa marekani Ciara 28,amejitokeza hadharani baada ya kujificha kwa miezi kadhaa na kuthibitisha kuwa anatarajia kupata mtoto na mchumba wake Future hivi karibuni.

Ciara huyu atakuwa ni mtoto wake wa kwanza,amejitokeza leo jumanne ya januari 14.

The Best Gadget during the journey

Unapokuwa safari ya masaa kadhaa barabarani kwa basi,angani kwa ndege au bahari kwa meli mtu unakuwa bored sana sababu ya kukosa cha kufanya na mara unapitiwa na usingizi kutokana na hali hiyo.

hivyo basi kwa wale tunaopenda safari tujijengee utamaduni wa kusoma iwe vitabu,magazeti au kutumia vitu mbadala kama ipads katika kusoma ili kuepukana na kale kausingizi kaghafla,maana mtu unaweza kutoka ubungo tu kufika kibamba usingizi huo na wakati huo ndio muda mzuri wa kujisomea.

Na kwa wale wenye uwezo wa kumudu kuwa labda na ipad inanoga zaidi.na kukufanya kuwa bize kujua vitu mbalimbali vinanyoendelea duniani na kuepukana na kausingizi ka safari.