Alhamisi, 23 Januari 2014

Diamond na mamaye

Diamond akiwa na mama yake aliyemsindikiza uwanja wa Ndege wa Kimataifa Mwl Julius Nyerere jana wakati wa safari yake kuelekea Nairobi katika show yake inayofanyika leo.
Upendo wa mama na mtoto huo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni