Jumanne, 21 Januari 2014

Fahamu matumizi ya Kitenge

                                           Handbags za Kitenge
                                  

                                                 Neclace za vitenge

 
sandals za vitenge
Kitenge ni vazi linalotumika katika bara la Afrika kama utambulisho wa wetu kimavazi,lakini kitenge sikuhizi kimekuwa kikitumika kutengeneza vitu mbalimbali mfano accessories,mapambo ya nyumbani pazia na mashuka.

Hivyobasi mtu unawezakutumia kitenge kubuni kitu  kutokana na upendavyo ili uonekane tofauti.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni