Ijumaa, 10 Januari 2014

Mwasiti ndani ya Serebuka

Msanii wa bongo flava kutoka Tanzania House of Talent(THT)mwasiti Almasi anatarajia kutoa single yake kwa mashabiki wake inayojulikana kama Serebuka jumatatu ya januari 13 mwaka huu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni