Alhamisi, 9 Januari 2014

Huyu ndiye mshindi wa African Footballer mwaka"2013"

                                       Yaya Toure wa pili kushoto



Yaya Toure(30) kutoka Ivory Coast ameibuka mshindi wa African footballer kwa mwaka 2013 Kwenye utoaji wa tuzo hii uliofanyika jana Lagos Nigeria. Mkali huyu ambae anaichezea Manchester City anajivunia kuwa mshindi wa tuzo hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni