Jumapili, 8 Desemba 2013

Siku ya tatu katika kuomboleza Afrika kusini

Raia wa Afrika Kusini wako kwenye maombolezo kwa siku ya tatu hii leo ni siku maalum ya ibada na maombi maalum  kwa ajili ya kuomboleza mpendwa wao Kiongozi wa zamani wa taifa hilo Nelson Mandela, aliyeaga dunia siku ya Alhamisi akiwa na umri wa miaka 95.







Hakuna maoni:

Chapisha Maoni