Fashion and Style






Nyota wa filamu nchini Nigeria wakiwa katika mapozi ndani ya zuria jekundu,nyota mbalimbali duniani wamekuwa wakionyesha mitindo na fasheni zao katika zuria jekundu.
Na hata hapa bongo utamaduni huu unakuwa sana.
wamependeza jamani!!!

Maoni 1 :